eGov Agency

Kuhifadhi Tovuti za Serikali

Idara ya Serikali Mtandao, imejiimarisha katika kuhakikisha usalama wa tovuti serikalini unakua ni kipaumbele cha kwanza, hivyo idara ya serikali mtandao, imetengeneza mfumo wa kisasa uambao utawezesha tovuti za serikali kuhifadhiwa kwa pamoja na kwa usalama zaidi. Taasisi zote za serikali ambazo zimehifadhi tovuti zake nje, zinaombwa kufata utaratibu na muongozo ambao idara imeshatoa, jinsi gani ya kupata huduma hii kwa kutumia mfumo uliopo wa kuhifadhia tovuti hizo ambao unamilikiwa na Idara ya Serikali mtandao. Kwa maelezo zaidi usisite kuwasiliana na idara kupitia anuani zake zilizopo kwenye tovuti hii.

 

Anuani

Idara ya Serikali Mtandao
: Mazizini
 : +255 24 22 35689
: info@egoz.go.tz
: www.egoz.go.tz

Anuani

Idara ya Serikali Mtandao
: Mazizini
 : +255 24 22 35689
: info@egoz.go.tz
: www.egoz.go.tz