Ofisi ya Raisi, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora

HUDUMA ZETU

Ushauri wa Kitaalam

Ukuaji na mabadiliko ya Teknolojia imechangia kwa kiasi kikubwa uhitaji wa ushauri wa kitaalamu kwenye sekta ya TEHAMA kama vile Ununuzi wa Vifaa vya TEHAMA na ushauri juu ya Utengenezaji wa Mifumo

Usimamizi wa Mifumo

Ongezeko la matumizi ya mifumo katika Utimishi wa Umma imepeleka kuwepo kwa usimamizi wa karibu wa mifumo hiyo kwa ajili ya kutathmini ubora wake.‚Äč

Miongozo ya TEHAMA

Ukuaji na mabadiliko ya Teknolojia imechangia kwa kiasi kikubwa uhitaji wa ushauri wa kitaalamu kwenye sekta ya TEHAMA kama vile Ununuzi wa Vifaa vya TEHAMA na ushauri juu ya Utengenezaji wa Mifumo

Habari